Nafashi za Kazi ya Sales

NYAMALAWA

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
90
Reaction score
17
Wanahitajika wasichana wawili tu, umri kuanzia miaka 18-25 wenye uzoefu na mambo ya kutembeza na kuuza bidhaa maeneo mbalimbali hapa Dar.

Malipo ni kwa kamisheni,yaani utakavyouza sana ndo utapata sana.

Kwa maelezo zaidi PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…