Esther Antony
Member
- Oct 24, 2015
- 19
- 23
Tunaelewana, na maeneo unayoishi piaSisi wa buku7 je
23Una umri gani?
Aaaah! Hapo sawaTunaelewana, na maeneo unayoishi pia
Unahitaji?Aaaah! hapo sawa
Kama upo serious hakikisha unakuwa active muda wote.... Pia utafute na wenzako ujiunge na muwe hata 5, maana itakuwa kero kama mtu anakuita Kisha umwambie leo nina oda kwingine.
Weka mawasiliano yako.
Pia usichague nyumba Wala familia za kwenda kutumika! Uwe serious ktk hilo utakuja kunishujuru baadae.
Asante, Ila tupo wawili kwa sasaKama upo serious hakikisha unakuwa active muda wote.... Pia utafute na wenzako ujiunge na muwe hata 5, maana itakuwa kero kama mtu anakuita Kisha umwambie leo nina oda kwingine.
Weka mawasiliano yako.
Pia usichague nyumba Wala familia za kwenda kutumika! Uwe serious ktk hilo utakuja kunishujuru baadae.
Asante kwa ushauri, nitaufanyia kaziWekeni mawasiliano... Sidhani kama kuna haja ya kufuatana DM, mtu anakupigia sim mnaelewana. Mkipatana unaanza safari, na anakutajia na ukubwa wa kazi Tena ikiwezekana ataje kwa msj... Maana KWA sasa pia mambo ya mjini ni mengi... Anaweza akakuita kwa ufuaji kumbe ana lengo la kukutumia kingono... Hilo pia uwe na tahadhali nalo.
Ndio nina uhitaji ila wa mtu permanentlyUnahitaji?
Kuja na kuondoka?Ndio nina uhitaji ila wa mtu permanently
Permanent ni mtu wa kudumuKuja na kuondoka?
Nimekuelewa Ila namaanisha unahitaji akae hapo hapo kwako? Anaweza Kuwa wa kudumu Ila anakuja Kila siku na kuondokaPermanent ni mtu wa kudumu
Yeah! anakaa kwangu au haitawezekana?Nimekuelewa Ila namaanisha unahitaji akae hapo hapo kwako? Anaweza Kuwa wa kudumu Ila anakuja Kila siku na kuondoka
Njoo PmInawezekana lakini Nina mtoto na watu wengi hawaitaji mtu mwenye mtoto