Jembe Jembe JF-Expert Member Joined Jun 9, 2016 Posts 757 Reaction score 1,822 Nov 25, 2017 #1 Mh kalisti lazaro Meya wa jiji la Arusha amefanikisha maonyesho ya kimataifa kwa makampuni yanayo fanya shughuli zake ndani ya jiji la Arusha mh Mgeni Rasmi Naibu waziri wa Mambo ya ndani Suzan Kolimba azindua rasmi na kupongeza maonyesho Ayo
Mh kalisti lazaro Meya wa jiji la Arusha amefanikisha maonyesho ya kimataifa kwa makampuni yanayo fanya shughuli zake ndani ya jiji la Arusha mh Mgeni Rasmi Naibu waziri wa Mambo ya ndani Suzan Kolimba azindua rasmi na kupongeza maonyesho Ayo
THEGENTLEMAN1996 JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 518 Reaction score 593 Nov 25, 2017 #2 eshma=heshima