Nadhani ujumbe umefika, hakuna tena mwingine atakayekuja na 'single' ya kejeli kwa viongozi

KalistusM

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
235
232
Yule wa kwanza lilifanyika kosa kukamatwa na Polisi, kwani ilibidi taratibu za kawaida zifuatwe ashtakiwe na hakukuwa na uwezekano wa kushinda kesi. Wakina Kibatala na Lissu wakaingia humo kwa hiyo ingekuwa kiki tu kwa wimbo, msanii na wale wanaopendezwa na yaliyomo kwenye wimbo.

Hatimaye akaachiwa kwa shingo upande ila hamkuelewa maana ya kauchiwa kule, yaani zinaachwa taratibu rasmi zinakuja taratibu zingine zenye ufanisi zaidi ambazo hazitoi kiki.

Somo limeeleweka sasa, hofu imeanza kuingia. Hakuna atakayethubutu kuja tena na 'single' ya kejeli maana kulikuwa na kama movement fulani kupitia sanaa.
 
Yule wa kwanza lilifanyika kosa kukamatwa na Polisi, kwani ilibidi taratibu za kawaida zifuatwe ashtakiwe na hakukuwa na uwezekano wa kushinda kesi, na wakina Kibatala na Lissu wakaingia humo kwa hiyo ingekuwa kiki tu kwa wimbo,msanii na wale waopendezwa na yaliyomo kwenye wimbo.

Hatimaye akaachiwa kwa shingo upande ila hamkuelewa maana ya kauchiwa kule, yaani zinaachwa taratibu rasmi zinakuja taratibu zingine zenye ufanisi zaidi ambazo hazitoi kiki.
Somo limeeleweka sasa, hofu imeanza kuingia kuwa usilete ujinga ujinga. Hakuna atayethubutu kuja tena na 'single' ya kejeli maana kulikuwa na kama movement fulani kupitia sanaa.
 
Attachments

  • VID-20170409-WA0001.mp4
    2.2 MB · Views: 49
Kila mtu afanye yake, hata mi mtu ukiniimba nakutafta... Usanii mzuri kuna changamoto nyingi za kuimba na sio kuingilia maslahi ya watu, nchi, vitu ...tujue kutofautisha equity na equality ..
Toa maana za equality na equity kwa kiswahili.
 
Yule wa kwanza lilifanyika kosa kukamatwa na Polisi, kwani ilibidi taratibu za kawaida zifuatwe ashtakiwe na hakukuwa na uwezekano wa kushinda kesi, na wakina Kibatala na Lissu wakaingia humo kwa hiyo ingekuwa kiki tu kwa wimbo,msanii na wale waopendezwa na yaliyomo kwenye wimbo.

Hatimaye akaachiwa kwa shingo upande ila hamkuelewa maana ya kauchiwa kule, yaani zinaachwa taratibu rasmi zinakuja taratibu zingine zenye ufanisi zaidi ambazo hazitoi kiki.
Somo limeeleweka sasa, hofu imeanza kuingia kuwa usilete ujinga ujinga. Hakuna atayethubutu kuja tena na 'single' ya kejeli maana kulikuwa na kama movement fulani kupitia sanaa.
Hey, single ya kejeli au single ya ukweli?

Mtu ukijamba kwenye kadamnasi, akatokea wa kusema fulani kajamba, huyo hajakutukana, umetukana wewe uliyejamba kwenye kadamnasi.
 
Acheni kutisha watu.

Huwezi kuwa Rais, Waziri, Rc, Dc wa kudumu utafika muda wenu mtaachia madaraka na ikifika siku zenu mtarudi udongoni.

Kuweni na busara madaraka ni kitu cha kupita acheni kunyanyasa watu.

Hii ni nchi ya Watanzania wote.

Back
Top Bottom