kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,022
Wanaona fahari kupigwaMpira ni magoli.
Hii dhana ya kucheza entertaining football naona ni ya kijinga sana.Maana inategemea vitu vingi sana ili ifanikiwe.
Mfano mechi ya jana na Prisons....
Ume-Comment kwa hasira ya hali ya juu sana,tulia mkuu,Simba huwa ikishinda ooh umeona lile pira wakifungwa ooh opponent wenu walikuwa wanacheza mpira wa vurugu/kubutua,tulieni na msijiaminishe saaaana kwamba mnajua mpira mazee,always mpira una matokeo mabaya sana,hii dhana ya kwamba mnakikosi kipana inatakiwa ibakie kama stor tu and not by confidence.Hujui mpira wewe...Kufungwa kupo tu...hata ucheze mpira wa vurugu kama walivyofanya Prison...Jiulize Prison hushinda mechi ngapi kwa msimu na mpira wao unaoshauri Simba icheze?
Eti "wamefungwa kisa mpira biliani" yaani hujui hata kwanini Simba inaitwa Lunyasi unataka kujifanya shabiki? Kila timu inafalsafa yake na husajili kocha na wachezaji kutokana na falsafa yake.
Mpira ndo ulivyo kama hutaki kufungwa kacheze Video game ili ucheze kwa mfumo wako usitupangie.
Soma vizuri kilichoandikwa uelewe ndo U comment...siyo unakurupuka tu au una hangover?Ume-Comment kwa hasira ya hali ya juu sana,tulia mkuu,Simba huwa ikishinda ooh umeona lile pira wakifungwa ooh opponent wenu walikuwa wanacheza mpira wa vurugu/kubutua,tulieni na msijiaminishe saaaana kwamba mnajua mpira mazee,always mpira una matokeo mabaya sana,hii dhana ya kwamba mnakikosi kipana inatakiwa ibakie kama stor tu and not by confidence.
We jamaa sio mwanasoka..acha kupanic bila sababu mkuu...last game ya vpl mlishinda 4-0 na mkasifia pira birian, wala hatukusikia swala la upangaji mbovu wa kikosi...Leo mmefungwa unakuja na pointless...Mkishinda bila biriani mnalalamika....kufungwa ni kawaida mkuu...Basi hakuna maana ya ligi ikiwa mnataka kushinda game zote..nyie hata mkisuluhu mnaanza lawama kibaooo...Mpira ni magoli.
Hii dhana ya kucheza entertaining football naona ni ya kijinga sana.Maana inategemea vitu vingi sana ili ifanikiwe.
Mfano mechi ya jana na Prisons.
Prisons wamecheza Mpira wa nguvu na vurugu sana.Uwanja wenyewe hauruhusu hizo pasi za rula.Kasi ya wachezaji wa Simba siyo kubwa.Upangaji wa timu na game plan mbovu.Huwezi kupata matokeo kwa jinsi hiyo.
Simba wawekeze kwenye kupata ushindi na waachane na maneno ya Haji.
Kuna baadhi ya watangazaji wanasifia eti "soft touch" huu ni upuuzi mkubwa.
Mpira wenyewe ni wa kiume hivyo uwekezaji wa nguvu lazima uende sambamba na akili na kipaji.
Kutokana na hii dhana na falsafa ya pira biriani imesababisha wachezaji kama Miqueuson na Morrison waache aina ya mchezo wao uliokuwa unaleta hatari sana kwa timu pinzani.Haya mambo ya chenga twawala ni ya kizamani sana
Umehama kwenye pira biriani umeingia kwenye kikosi kipana..Ngoja nikwambie kitu mkuu, kufungwa na prison sio ishu sana sababu hakuna timu duniani ambayo haifungwagi..Moyoni mwako mwenyewe unajua na unakiri kwamba Simba ni zaidi mara kumi ya timu yako unayoishangilia..Ume-Comment kwa hasira ya hali ya juu sana,tulia mkuu,Simba huwa ikishinda ooh umeona lile pira wakifungwa ooh opponent wenu walikuwa wanacheza mpira wa vurugu/kubutua,tulieni na msijiaminishe saaaana kwamba mnajua mpira mazee,always mpira una matokeo mabaya sana,hii dhana ya kwamba mnakikosi kipana inatakiwa ibakie kama stor tu and not by confidence.
Pira Gwaride,pira gongo,pira chibuku,pira togwa,bwahahahhaaaaaaaaa,Soma vizuri kilichoandikwa uelewe ndo U comment...siyo unakurupuka tu au una hangover?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]Mimi nafurahi simba kufungwa tu mambo mengine mtajuana wenyewe
Kama hajakuelewa apa basi tena Mkuu.Hujui mpira wewe...Kufungwa kupo tu...hata ucheze mpira wa vurugu kama walivyofanya Prison. Jiulize Prison hushinda mechi ngapi kwa msimu na mpira wao unaoshauri Simba icheze?
Eti "wamefungwa kisa mpira biliani" yaani hujui hata kwanini Simba inaitwa Lunyasi unataka kujifanya shabiki? Kila timu inafalsafa yake na husajili kocha na wachezaji kutokana na falsafa yake.
Mpira ndo ulivyo kama hutaki kufungwa kacheze Video game ili ucheze kwa mfumo wako usitupangie.