Nadhani campaign za urais 2025 zimeaza kwanza na Makamba

Ninaona kama campaign za urais zinaanza. Hebu ulinzi wa magufuri umalishwe mara dufu. Hizi ni njama za kisiasa mpumbavu ataona watu wanaichafua familia ya makamba but great thinker tunajua hii ni familia ya Mafisadi akiwemo aliyepiga hii deal na kuliwa mamilioni. Kuanda mrithi wao baada ya kuwaangusha wenye upinzani mkali katika kiti cha urais.

mimi nimejiwazia tu but nahisi kuna kitu zaidi ya revenge hapa.

Vipi Makamba kakutuma?

Mwambie mwosha huoshwa....
Mwenda tezi na omo marejea Ngamani
 
Wao wapige kampeni tu lkn sisi tutabadili katiba kama Rwanda kumpa nafasi ya kuongoza miaka 50 tunaimani na Magufuli
 
Back
Top Bottom