utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Ndiyo matokeo ya kudhani mwendawazimu anaweza kuiongoza nchi.
mkuu jaribu kuwa na heshima kwa rais wa nchi kubwa kama hii tafadhaliNdiyo matokeo ya kudhani mwendawazimu anaweza kuiongoza nchi.
"Tunaomba mje kununua korosho, zipo za kutosha.ili kupata utaratibu wa namna ya kuzinunua, tunaomba mtembelee ofisi za wizara ili kupewa utaratibu mzuri " Naibu waziri wa viwanda Dr Edwin Muhende akiwakaribisha wafanyabiashara kutoka India kuja kununua korosho nchini.
LANGU;
1. Naibu waziri angeacha wanunuzi waende kununua korosho bila kuanza kupewa tena milolongo mingine wakati hiyo ndo ilituchelewesha katika zao hili mana kiufupi tusilifumbie tulichemka pale mwanzoni ko tuache liende.
2. Nadhan kupitia zao hili limetufunza kuwa kumbe kangomba au mtu kati katika biashara yoyote ile hakwepeki kivyovyote vile ko hili tulipeleke katika mbaazi mahindi na mazao mengine serikali ijitahid kusimamia bei ya mkulima nae apate lakin sio kuingia katika biashara. .
"Maendeleo hayana chama" -copied from johnthebaptist
Sent using Jamii Forums mobile app
Raid mwenyewe hajiheshimu anapuyanga tu hajui ABC za uchumimkuu jaribu kuwa na heshima kwa rais wa nchi kubwa kama hii tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichaa kaumbuka, yaani kawageuza wanajeshi kama midori na wanampigia makofi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha mkuu huwa unapigilia nyundo za utosi kabisa kwa huyu kichaa.Ndiyo matokeo ya kudhani mwendawazimu anaweza kuiongoza nchi.
Sisi tutapiga nazo picha koroshw zetuKorosho za mwaka wa jana hazina soko kwenye soko la dunia. Mimi nilimshangaa magufuli aliposema kwamba "wataziweka hata miaka mitano". Wanunuzi wa korosho sasa hivi wako west africa kwenye korosho mpya.
Sure 100%Hilo ni moja lakini yako mengi ya hivyo. Ukweli ulio wazi, rais wetu anamudu zaidi upande wa ujenzi wa miundo mbinu tu. Kwenye uchumi, demokrasia nk ni maeneo aliyoshindwa kabisa. Kama ni mafanikio basi ni 20% tu. Anaamini kuwa rais anaweza kuingilia kila jambo hata yale asiyo na uwezo nayo. Kwa sasa uchumi uko vibaya ila alichofanikiwa ni kunyamazisha vyombo vya habari visitangaze mapungufu na hayo machache yatangazwe kama ndio nchi imepiga hatua na kusiwepo kuhoji.
Pole.....itabidi wazigawe kila raia apate japo kg 2Nikifikiria korosho ambazo familia yangu wamehangaika kulima huwa napata sana hasira.
Wajeda waliwatish mfanyabiashara anataka utulivu.....Wafanyabiashara hela ni zao na ukiwazingua anaenda kununua magari Japan na kuyapeleka Dubai na mzunguko wa hela zake unaendelea
We unazuia korosho zikioza hasara
Sasa unamuita tena hapo ndio anapanga bei anayotaka halafu mnarudi kule kule
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hivi unajua maana ya serikali zilizoshindwa ?"Tunaomba mje kununua korosho, zipo za kutosha.ili kupata utaratibu wa namna ya kuzinunua, tunaomba mtembelee ofisi za wizara ili kupewa utaratibu mzuri " Naibu waziri wa viwanda Dr Edwin Muhende akiwakaribisha wafanyabiashara kutoka India kuja kununua korosho nchini.
LANGU;
1. Naibu waziri angeacha wanunuzi waende kununua korosho bila kuanza kupewa tena milolongo mingine wakati hiyo ndo ilituchelewesha katika zao hili mana kiufupi tusilifumbie tulichemka pale mwanzoni ko tuache liende.
2. Nadhan kupitia zao hili limetufunza kuwa kumbe kangomba au mtu kati katika biashara yoyote ile hakwepeki kivyovyote vile ko hili tulipeleke katika mbaazi mahindi na mazao mengine serikali ijitahid kusimamia bei ya mkulima nae apate lakin sio kuingia katika biashara. .
"Maendeleo hayana chama" -copied from johnthebaptist
Sent using Jamii Forums mobile app
Mavuno yajayo sijui kama jiwe atatia mguu tena au kutoa tamkoKorosho za mwaka wa jana hazina soko kwenye soko la dunia. Mimi nilimshangaa magufuli aliposema kwamba "wataziweka hata miaka mitano". Wanunuzi wa korosho sasa hivi wako west africa kwenye korosho mpya.