utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,826
- 2,411
"Tunaomba mje kununua korosho, zipo za kutosha.ili kupata utaratibu wa namna ya kuzinunua, tunaomba mtembelee ofisi za wizara ili kupewa utaratibu mzuri " Naibu waziri wa viwanda Dr Edwin Muhende akiwakaribisha wafanyabiashara kutoka India kuja kununua korosho nchini.
LANGU;
1. Naibu waziri angeacha wanunuzi waende kununua korosho bila kuanza kupewa tena milolongo mingine wakati hiyo ndo ilituchelewesha katika zao hili mana kiufupi tusilifumbie tulichemka pale mwanzoni ko tuache liende.
2. Nadhan kupitia zao hili limetufunza kuwa kumbe kangomba au mtu kati katika biashara yoyote ile hakwepeki kivyovyote vile ko hili tulipeleke katika mbaazi mahindi na mazao mengine serikali ijitahid kusimamia bei ya mkulima nae apate lakin sio kuingia katika biashara. .
"Maendeleo hayana chama" -copied from johnthebaptist
Sent using Jamii Forums mobile app