Nadhan hili la korosho limetupa funzo kubwa mno sidhan kama litajirudia tena

utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
1,363
Likes
1,110
Points
280
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
1,363 1,110 280
"Tunaomba mje kununua korosho, zipo za kutosha.ili kupata utaratibu wa namna ya kuzinunua, tunaomba mtembelee ofisi za wizara ili kupewa utaratibu mzuri " Naibu waziri wa viwanda Dr Edwin Muhende akiwakaribisha wafanyabiashara kutoka India kuja kununua korosho nchini.

LANGU;
1. Naibu waziri angeacha wanunuzi waende kununua korosho bila kuanza kupewa tena milolongo mingine wakati hiyo ndo ilituchelewesha katika zao hili mana kiufupi tusilifumbie tulichemka pale mwanzoni ko tuache liende.

2. Nadhan kupitia zao hili limetufunza kuwa kumbe kangomba au mtu kati katika biashara yoyote ile hakwepeki kivyovyote vile ko hili tulipeleke katika mbaazi mahindi na mazao mengine serikali ijitahid kusimamia bei ya mkulima nae apate lakin sio kuingia katika biashara. .

"Maendeleo hayana chama" -copied from johnthebaptist

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mwakijembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Messages
570
Likes
737
Points
180
M

mwakijembe

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2017
570 737 180

Hilo ni moja lakini yako mengi ya hivyo. Ukweli ulio wazi, rais wetu anamudu zaidi upande wa ujenzi wa miundo mbinu tu. Kwenye uchumi, demokrasia nk ni maeneo aliyoshindwa kabisa. Kama ni mafanikio basi ni 20% tu. Anaamini kuwa rais anaweza kuingilia kila jambo hata yale asiyo na uwezo nayo. Kwa sasa uchumi uko vibaya ila alichofanikiwa ni kunyamazisha vyombo vya habari visitangaze mapungufu na hayo machache yatangazwe kama ndio nchi imepiga hatua na kusiwepo kuhoji.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
83,729
Likes
125,683
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
83,729 125,683 280
Ni nuksi kubwa sana huyu nchini kwetu na laana ya Mwenyezi Mungu inamtafuna kwa maovu yake mengi aliyowafanyia Watanzania mbali mbali ikiwemo kuwafukuza kazi kwa uonevu, kuwadhulumu haki yao, kuwateka, kuwatesa na hata kuwaua, kuwabambikia kesi bila kusahau bomoa bomoa.

Kichaa kaumbuka, yaani kawageuza wanajeshi kama midori na wanampigia makofi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
35,658
Likes
24,068
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
35,658 24,068 280
Mlijifanya mnadharau....
Hivi Nyie wale wanunuzi toka India na Vietnam waliyokuwa wanakujaga nunua koroshow mlifikiri walikuwa wanakuja tu .....kulikuwa na connection na wafanyabiashara wa ndani .....
Na kwa taarifa yako wanunuzi wengi wako msumbiji na afrika magharibi
Nyie Inabidi muelewe biashara haitaki maguvu na mikwala
Biashara inahitaji akili,acha tule wenyewe hzi koroshw
Ila wakulima mshawapotezea timing na zao hilo mshalitia gundu....morali haipo tena

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
35,658
Likes
24,068
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
35,658 24,068 280
Korosho za mwaka wa jana hazina soko kwenye soko la dunia. Mimi nilimshangaa magufuli aliposema kwamba "wataziweka hata miaka mitano". Wanunuzi wa korosho sasa hivi wako west africa kwenye korosho mpya.
Sisi tutapiga nazo picha koroshw zetu
Biashara zina wenyewe nlivyoona wajeda wanapelekwa hko nkasema ayaaa maumivu yaja

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
1,069
Likes
150
Points
160
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2012
1,069 150 160
Hilo ni moja lakini yako mengi ya hivyo. Ukweli ulio wazi, rais wetu anamudu zaidi upande wa ujenzi wa miundo mbinu tu. Kwenye uchumi, demokrasia nk ni maeneo aliyoshindwa kabisa. Kama ni mafanikio basi ni 20% tu. Anaamini kuwa rais anaweza kuingilia kila jambo hata yale asiyo na uwezo nayo. Kwa sasa uchumi uko vibaya ila alichofanikiwa ni kunyamazisha vyombo vya habari visitangaze mapungufu na hayo machache yatangazwe kama ndio nchi imepiga hatua na kusiwepo kuhoji.
Sure 100%
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
10,735
Likes
8,136
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
10,735 8,136 280
Wafanyabiashara hela ni zao na ukiwazingua anaenda kununua magari Japan na kuyapeleka Dubai na mzunguko wa hela zake unaendelea
We unazuia korosho zikioza hasara
Sasa unamuita tena hapo ndio anapanga bei anayotaka halafu mnarudi kule kule

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
35,658
Likes
24,068
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
35,658 24,068 280
Wafanyabiashara hela ni zao na ukiwazingua anaenda kununua magari Japan na kuyapeleka Dubai na mzunguko wa hela zake unaendelea
We unazuia korosho zikioza hasara
Sasa unamuita tena hapo ndio anapanga bei anayotaka halafu mnarudi kule kule

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wajeda waliwatish mfanyabiashara anataka utulivu.....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
57,912
Likes
54,846
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
57,912 54,846 280
"Tunaomba mje kununua korosho, zipo za kutosha.ili kupata utaratibu wa namna ya kuzinunua, tunaomba mtembelee ofisi za wizara ili kupewa utaratibu mzuri " Naibu waziri wa viwanda Dr Edwin Muhende akiwakaribisha wafanyabiashara kutoka India kuja kununua korosho nchini.

LANGU;
1. Naibu waziri angeacha wanunuzi waende kununua korosho bila kuanza kupewa tena milolongo mingine wakati hiyo ndo ilituchelewesha katika zao hili mana kiufupi tusilifumbie tulichemka pale mwanzoni ko tuache liende.

2. Nadhan kupitia zao hili limetufunza kuwa kumbe kangomba au mtu kati katika biashara yoyote ile hakwepeki kivyovyote vile ko hili tulipeleke katika mbaazi mahindi na mazao mengine serikali ijitahid kusimamia bei ya mkulima nae apate lakin sio kuingia katika biashara. .

"Maendeleo hayana chama" -copied from johnthebaptist

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua maana ya serikali zilizoshindwa ?
 
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,834
Likes
2,389
Points
280
Age
59
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,834 2,389 280
Korosho za mwaka wa jana hazina soko kwenye soko la dunia. Mimi nilimshangaa magufuli aliposema kwamba "wataziweka hata miaka mitano". Wanunuzi wa korosho sasa hivi wako west africa kwenye korosho mpya.
Mavuno yajayo sijui kama jiwe atatia mguu tena au kutoa tamko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,272,363
Members 489,924
Posts 30,448,925