Muxt Member Joined Jun 25, 2022 Posts 45 Reaction score 62 Jun 17, 2025 #1 Wakuu kwema Naomba kuuliza ivi hii page ya nactvect ni kwangu tu au Maan leo siku ya tatu haifunguki nataka kufanya application za vyuo
Wakuu kwema Naomba kuuliza ivi hii page ya nactvect ni kwangu tu au Maan leo siku ya tatu haifunguki nataka kufanya application za vyuo
H Hypersonic JF-Expert Member Joined Apr 14, 2012 Posts 994 Reaction score 1,896 Jun 17, 2025 #2 Muxt said: Wakuu kwema Naomba kuuliza ivi hii page ya nactvect ni kwangu tu au Maan leo siku ya tatu haifunguki nataka kufanya application za vyuo Click to expand... Omba tu moja kwa moja chuoni kwa kujaza fomu, web yao haipo hewani na wamelala usingizi kabisa ili hali wametangaza dirisha la kufanya application
Muxt said: Wakuu kwema Naomba kuuliza ivi hii page ya nactvect ni kwangu tu au Maan leo siku ya tatu haifunguki nataka kufanya application za vyuo Click to expand... Omba tu moja kwa moja chuoni kwa kujaza fomu, web yao haipo hewani na wamelala usingizi kabisa ili hali wametangaza dirisha la kufanya application
Muxt Member Joined Jun 25, 2022 Posts 45 Reaction score 62 Jun 18, 2025 Thread starter #3 Naomba Hypersonic said: Omba tu moja kwa moja chuoni kwa kujaza fomu, web yao haipo hewani na wamelala usingizi kabisa ili hali wametangaza dirisha la kufanya application Click to expand... Naomba ufafanuzi zaidi Maan niliskia maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa CAS sasa hiyo ya kujafa form ipoje ipoje
Naomba Hypersonic said: Omba tu moja kwa moja chuoni kwa kujaza fomu, web yao haipo hewani na wamelala usingizi kabisa ili hali wametangaza dirisha la kufanya application Click to expand... Naomba ufafanuzi zaidi Maan niliskia maombi yote yatumwe kupitia mfumo wa CAS sasa hiyo ya kujafa form ipoje ipoje