Nacte

pastory97

Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
17
Reaction score
12
Samahanini jamani naomba kuuliza

Kama mtu amaomba mchanganyiko
Yani mfano ameomba vyuo viwili vya afya na viwili vya ualimu kwa ngazi ya diploma, wanaangaliaga nini kukuchagua chuo kimoja wapo? Na ukizingatia vyuo vyote unavigezo.


Msaada...
 
Naomba kujuzwa selection za diploma zimetoka? Kama ndio mwenye link ya vyuo vya afya na kilimo aniwekee tafadhali
 
Nasemea sasa wakati wa kukuchagua kama ivyo wanakuchagua IPI kati ya afya na ualimu? Au wanakuchagua zote mbili
navofaham ukianza ku-apply lazma uchague mojawapo kati ya ualim au afyaa kam 1st choice ndo wanapokupelekaa wakizngatia vigezo vya guide book ya Nacte
 
Kama kote una vigezo wanachoangalia ni competition basi kma competition hamn kweny kozi husika basi wanakupa first choice yako bila tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…