NACTE

JUNIOR GONG

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
61
Reaction score
29
Habari wakuu
Naombeni msaada nafanya application online hapa nimefika sehemu ya CHOOSE PROFESSIONAL AREA/FIELD OF STUDY
Sasa ninapochagua category ya Teacher Education ninapotia tia kwenye kile kibox na kuchagua continue page haiendelei mbele yaani inagoma kabisa nikijaribu kuretry several times page inabaki hapo hapo.
Naombeni msaada wenu maana NACTE napiga simu zao muda wote zipo bize.
 
jaribu tena kwa wakati mwingne yumkini ni tatizo la mtandao tu
 
kuna option kwa kulia chagua periority ndo uendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…