NACTE yampa presha mtoto wa masikini

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wana jamvi baada ya kuwa sisi tuliochaguliwa UDSM kupitia NACTE kutemwa kule kwa kukosa credit tatu za o level.

Nacte walitufungulia profile zetu tuchague upya nilifanya hivo lakini mpaka sasa profile yangu haijabadika na kesho wanatoa third batch Kweli ntapata mkopo masikini Mimi.

Na machungu makubwa ila nacteeeee mungu awahurumie.
 
Ndugu wana jamvi baada ya kuwa sisi tuliochaguliwa udsm kupitia nacte kutemwa kule kwa kukosa credit tatu za oleval Nacte walitufungulia profile zetu tuchague upya nilifanya hivo lakini mpaka sasa profile yangu haijabadika na kesho wanatoa third batch Kweli ntapata mkopo masikini Mimi ,Na machungu makubwa ila nacteeeee mungu awahurumie

dah mwanangu jukwaa lote linanuka post zako

Kwa kupost nyuzi nyingi sizani km utapata msaada kulingana na tatizo lako

Nakushaur uende nacte leo kaka sio humu na threads zako km sita
 
Mm sijaelewa, kutemwa kule kwa kukosa credit Tatu za Olevel maana yake nn? Umechanganya habari mbili kwa pamoja#
 
Ndugu wana jamvi baada ya kuwa sisi tuliochaguliwa UDSM kupitia NACTE kutemwa kule kwa kukosa credit tatu za o level.

Nacte walitufungulia profile zetu tuchague upya nilifanya hivo lakini mpaka sasa profile yangu haijabadika na kesho wanatoa third batch Kweli ntapata mkopo masikini Mimi.

Na machungu makubwa ila nacteeeee mungu awahurumie.

mkuu acha tu yaani hata tukipata chuo sijui kama tutapokelewa maana deadeline ni wiki hii
 
Back
Top Bottom