NACTE wanatoa lini selection?

QT Jay

Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
49
Reaction score
25
Wakuu , NACTE mbona wako kimya? yani hawatoi hizo selection na muda unazidi kuyoyoma. msaada kwa mwenye idea juu ya hili
 
Angalia kwa website yao, wakitoa watapost...
 
Bado hawajatoa... Nilisikia tetesi kuwa kuanzia. Tarehe 7 hivi mwezi. Wa nne
 
Bado hawajatoa... Nilisikia tetesi kuwa kuanzia. Tarehe 7 hivi mwezi. Wa nne
duuuuuhhh sasa mbona kuna vyuo vinaanza masomo tarehe 27 so itakuwaje apo mkuu
 
duuuuuhhh sasa mbona kuna vyuo vinaanza masomo tarehe 27 so itakuwaje apo mkuu
Sikia mkuu,, vyuo vimetofautiana kuna vile ambavyo vina muhula miwili i mean first year wanaripoti mara mbili. Mwezi wa nne au wa tatu mwishoni vingine wa saba na. Na wale wa. Mwezi wa kumi... So vile wanavyoanza now ni wale wenye awamu mbili..
 
Ila vile vya awamu moja bado havijawekwa mtandaoni.....
 
Hapa cha msingi kuwa karibu na mtandao wa nacte tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…