NACTE wana mpango gani na sisi?

Mbona hata mimi ni 4m 4 mwaka jana but nashukuru nilichaguliwa round iliyo pita chuo but THT usikate tamaa madogo tupo wengi acheni izo mambo
Asante sana Mkuu, ubarikiwe sana
 
mkuu kwani wapi walisema awamu ya pili ni kwa vyuo vya private?
 
mkuu kwani wapi walisema awamu ya pili ni kwa vyuo vya private?
asilimia kubwa ya vyuo vilivyowazi ni vya private kama uliapploy nadhani uliona kwenye data base
 
Ukiona malalamika yamekuwa mengi kuliko pongezi bas ujue kuna jambo mahala halijakaa sawa kwenye huu utawala,mie mwenyewe nina mdogo wangu anasubiria hayo majibu.ishu sio pesa,muda unaopotea una thamani kubwa zaidi
 
kozi ya clinical medicine ni ngumu sana ,tofauti na mnavyofikiria ila ukikaza buti kila kitu ni rahisi na sasa hv kuna mtihani wa wizara ya afya kutoka mwaka 1 kwenda mwaka wa 2 ukifeli unarudi home.
kama mkija uku mkomae,mimi ni mwaka wa kwanza nategemea kuingia mwaka wa pili naomba mungu matokeo yaje mazuri.
KAMA KUNA SWALI LOLOTE UNAWEZA KUNIULIZA
 
kwa aliyemaliza diploma ya clinical akienda degree inachukua miaka mingapi na ndo anakuwa medical doctor??
 
Hapa ni survival of the fittest kwa competition hii ya vyuo hatari
 
kwa aliyemaliza diploma ya clinical akienda degree inachukua miaka mingapi na ndo anakuwa medical doctor??
diploma ni miaka 3 tu ukimaliza diploma unaenda kwanza kazini kwa muda wa miaka 2 then kama ukipenda kusoma medical doctor unaomba ruhusa ya kwenda kusoma.
Medical doctor ni miaka 5 tu,
 
diploma ni miaka 3 tu ukimaliza diploma unaenda kwanza kazini kwa muda wa miaka 2 then kama ukipenda kusoma medical doctor unaomba ruhusa ya kwenda kusoma.
Medical doctor ni miaka 5 tu,
sawa nashukuru sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…