NACTE siwaelewi!!

Binman

Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
68
Reaction score
30
Nacte walivyotoa majina ya waliochaguliwa vyuo walitoa pia na tangazo likiwataka watu waapply ngazi ya cheti na diploma mwisho tarehe 5 agoust,, nikiangalia guide book za afya naona vyuo na corse zake kwa diploma na certificate ,, cha kushangaza nikiingia online kujaza wananiletea vyuo but hakuna diploma ni certificate tu. Shida ni nn diploma zimejaa kwa siku moja au??? JE FORM SIX WALIOPATA 3 WAKAKOSA D MBILI DIPLOMA WANAJAZA LINI???
 
Mwaka Huu Mtu Atajuta Kumaliza Shule Mana Hujui Ni Wapi Kuna Afadhali!! Degree Mikosi, Diploma Majanga, Certificate Mizengwe!!! Sijui Ni Tafsiri Gani hii ya Kuboresha Elimu!!!!!....
 
Mmmmh kama zilijaa inakuaje watoe tangazo kuwa watu waanze kuapply CHETI NA DIPLOMA,, wakati wanajua kuwa diploma zimejaaa??
Hiyo Ni Biashara Mkuu inayofanywa Na NACTE wakishirikiana Na VODACOM, usijiulize Sana.
 
form six atumie chet cha fm 4 Ku apply diploma
 
Ninavyojua Cheti na diploma vimekaa pamoja maana yake unasoma cheti kisha diploma. Mfano ukitaka kusoma diploma ya Uhandisi hata kama umemaliza form 6 lazima uanze upya kwa kutumia cheti cha form 4 pekee na hicho cha A level hakitumiki tena. Na huo ndio mfumo sahihi wa NACTE, mifumo mingine hiyo mnayoitaka ni ya mkato na ndiyo iliyoondolewa.
 
Hawa jamaa ni washenzi sana natarehe 5 mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…