Naamini ndiyo maana watanzania wengi tu wababaishaji.Kwani wanaotunga mitihani wanakuwa na nia gani kuleta vitu nje ya mtaala?
Jawabu nionavyo kwa mtazamo wangu,huu ubabaishaji ili uishe,ni kwa NACTE kuwa makini na kazi yao.
Mara nyingi tunaona wanafanya vitu kwa kikomoa ili watengeneze tatizo,na wenye kujaribu kulitatua kwa "njia mbadala" huenda wanawa
faidisha baadhi yao huko NACTE
Sent using
Jamii Forums mobile app