Joining instructions here
System ikikuona haupo eligible wakati wewe una qualification unapaswa ufatili lazima kuna kitu kina miss. jaribu kucheck kama gpa yako inaonekana kwenye profile kama gpa ipo kingine ni lazima uwe na pass 4 za form four. mimi nimehangaika ofisi za nacte kwa wiki 2. shida na mimi system ilikuwa inanitema. kila wakirun system inayo check eligibility kwangu ilikuwa ina conclude not eligible. na mimi nina qualification kabisa. kumbe shida ilikuwa matokeo ya diploma yalikuwa incomplete kuna semester nilipata supp nilivoichomoa chuo hakiku submit matokeo yangu nacte kwa hiyo matokeo waliyoweka kwenye system yao yakawa yanaonyesha sija clear supp. nilifatilia hadi wakafanya marekebisho. walipo run system ya eligibility. nikawa eligible kwa kozi zote nilizoomba. na walipo run selection nikapangiwa chuo. jaribu kufatilia matokeo yako na hili swala watu wengi hawajuiFinance mwanzo mwisho nina A, still naomba hiyohiyo finance wanasema"Not Eligible"!!! :
Sina hamu na nacte,3.8GPA but No selected. Duh kiboko!
Ukumaliza hyo hatua unaingia kwenye hatua nyingine inaitwa "wait for confirmation". Hapo pia kunahitaji uvumilivu