Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,017
- 3,656
Kuna tuliomaliza kidato cha nne 2016 tukajaribu kuomba vyuo kupitia CAS mwezi March 2017 hatukupata. Tulijibiwa tusubiri mpaka itakapotangazwa tena . Baadhi tulilipa 30,000/= kwa M-Pesa na ikakatwa ila kwenye usajili tukaambiwa tusubiri. Je,hiyo fedha ndo itatumika itakaporuhusiwa tena au itabidi kulipa tena? Na itakuwa lini? Mwenye kujua atujuze.