NACTE MMEFUNGA MFUMO KWA AJILI YA UCHAGUZI TANGU TAREHE 15-9-2016 NI NINI HASA KINAWAZUIA KUTOA MAJIBU YA APPLICATION ZETU KWA TAKRIBAN WIKI MBILI SASA KAMA SIO UZEMBE?? MAJIBU YA HARAKA YANATUSAIDUA KUJUA MAPEMA JINSI YA KUFANYA MAANDALIZI YA KWENDA VYUONI AU KUTAFUTA FURSA MMBADALA KWA WAKATI TOENI MAJIBU. MFUMO WENU WA CAS. VYUO VICHACHE KWANI MNACHOFANYA KWASASA NI KUCHUKUA PESA BILA KUJALI MUDA STAHIKI WA MITAALA TA KOZI MBALI MBALI NA MAANDALIZI TANAYOTAKIWA KUFANYA NA WAZAZI KWA AJILI YA KUPELEKA WATOTO VYUONI
Mbona wanazinguaOoooooh! Now wamefumgua unaeza kulog in ukachek
HayaMbona wanazingua
au kuongea pumba kwani form six walikua wachache? mbona wameshapewa mustakabali wao?Nyie subirini bhna kwani amjui waliotuma maombi ni wengi.
Form six bado wa second roundau kuongea pumba kwani form six walikua wachache? mbona wameshapewa mustakabali wao?
Hayaau kuongea pumba kwani form six walikua wachache? mbona wameshapewa mustakabali wao?
ata kwa fm6 tcu hawajatoa majina isipokua baadhi ya vyuo vimetoa majinaForm six bado wa second round
bhas tusubirata kwa fm6 tcu hawajatoa majina isipokua baadhi ya vyuo vimetoa majina
Kwaiyo majina yapo onlineWAMESHAFANYA SELECTION WALIO OMBA KATI YA TARE
HE 5-9-2016 HADI 15-9-2016 BAADA YA KUONGEZA HUO MUDA?? WAMEFANYA HIYO SELECTION LEO??
M mwenyewe naona dizain hyo mkuu sjui ndo mambo gan tenankijarbu kufungua nacte haifunguki inaandika hiviView attachment 410169