Ebu fanya forward hapo,,,,Ni ndugu yangu kabisa mdogo wake mama kapata kazi sasa yuko kwenye training akaniomba kukaa na mm kwa muda..
Jana kamleta demu wake na wamefanya uzinzi kitandani kwangu. Nilimkataza
Nimemwambia anipe funguo nikiingia anaingia na nikitoka anatoka[emoji23]
View attachment 2235931