Nachukizwa sana na watu hawa

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,397
1,011
Kwakweli watu hawa wanachukiza sanawatu wenyewe ni wale ambao wanajua UKWELI ni HUU na UWONGO ni ule lakini wao wanavyokomaa na uwongo na kutukana baadhi ya member wa humu lakini yote ni kutetea upuuzi ambao n.i UWONGO

Mbaya zaidi watu hao unakuta wasomi wazuri tu na wapo wengi ambao tunawajua kwa usomi wao lakini unakuta kitu cha kijinga sana ambacho hata mtoto ambaye anatumia akili ya kuzaliwa anaona hapa pana kosa lakini unakuta msomi mwelewa mzooefu anapingana na ukweli huo mpaka unashangaaa watu hawa wanatumiaje ELIMU zao

Wengine ambao nawashangaa ni wa hapa jukwani ambao nao sijui wananufaikaje na kuutetea UWONGO NA UPUUZI kwa kiasi kikubwa na kwa nguvu zao zote si waende kule kwa jokes wakaandike upuuzi au kule mapenzi na mahusiano wakaandike utumbo

Wengine ni hawa wanaotumiwa kama nini nakosa chakuwalinganisha wao WAKWAO akikosa anaonekana yupo sahihi kabisa lakini subiri wa MWINGINE akosee utashangaaa na unakuta kama vile wanasubiri makosa yafanyike waoate cha kuzungumza bila kukumbuka BINADAMU ili akamilike sharti akosee tatizo linakuja KUKIRI hilo kosa

Samahani sana kwa hawa Wanaojiita baadhi si wote WATUMISHI WA MUNGU ambao sisi tunawaamini waseme penye UWONGO NA UPOTOZWAJI WAKEMEE ila utashangaaa na kujiuliza wanayotufundisha yanatofautiana kabisa na matendo yao na utakuta Wengine wanawakosea hata viongozi wa KITAIFA kwa maneno ambayo si ya kweli sijui wanayaokota wapi

Hawa viongozi wa kidini baadhi wanashangaza sana sana penye BAADHI YAO WAMEJAA UNAFKI WA HALI YA JUU SANA.

NAWASIHI SANA TUSHIRIKIANE KUJENGA SI KUBOMOA NA WALE WANAFKI WAZANDIKI WAWE WAKWELI WANAPOONA MAMBO YANAENDA VIBAYA WASEME NA MAMBO YANAOOENDA VIZURI WAPONGEZE SI MAJUNGU MAJUNGU TU.

Note. Wengi wanaandika wasiyoyaamini ili tu wapate vyeo au sifa MAMBO mengine ya ajabu ambayo si ya msingi na unakuta wala haamini aliyoaandika yanatofautiana
 
Maoni yako yana wahusu kwa kiasi kikubwa Viongozi wa CHADEMA na Wafuasi wao
Kuliko wengineo
 
Mimi binfsi wananiudhi sana watu wasio jibu hoja kwa hoja, badala yake hujibu hoja kwa matusi, hawa watu kwa umoja wetu tulipaswa tuwapige vita ili forums hii iendelee kuwa wastaarabu, kuonyesha tofauti na forums zingine. Lazima tukubari kwenye hizi mada kunaweza tokea pande mbili wenye mtizamo tofauti sawishi kwa hoja mtu akubariane na hoja yako.
 
Mimi binfsi wananiudhi sana watu wasio jibu hoja kwa hoja, badala yake hujibu hoja kwa matusi, hawa watu kwa umoja wetu tulipaswa tuwapige vita ili forums hii iendelee kuwa wastaarabu, kuonyesha tofauti na forums zingine. Lazima tukubari kwenye hizi mada kunaweza tokea pande mbili wenye mtizamo tofauti sawishi kwa hoja mtu akubariane na hoja yako.

Tukubari = tukubali
Akubariane = akubaliane
U.F.S FaizaFoxy haha
 
Back
Top Bottom