Nachukia sana kuona wahindi na waarabu wanakaa Upanga wazawa tunalala Mbagala

Wakati wenzetu wao hawako hivyo hizo Nyumba nyingi za Upanga walijenga wao Nyerere akawazulumu lakini kama uonavyo penye IQ kubwa IQ hafifu hujitenga.
Tena la kushangaza wahindi waliletwa na Waingereza kama vibarua wakati wa ujenzi wa reli kuanzia South Afrika nchi nyingi tu zilizokuwa makoloni yao. Angalia leo vitukuu vyao viko wapi kifedha. Waarabu nao walikuja na majahazi ya papa wakavu na vifaa vyengine vya biashara ndogo ndogo na leo vitukuu vyao pia wako mbali sana kimaendeleo.

Ni jitihada zao binafsi na umoja wao ndiyo umewafikisha hapo walipo.
 
Pamoja na kunyang'anywa wamejenga nyingine kibao hapo hapo Upanga.
Maeneo mazuri wanapewa wao ila sisi viwanja tunakatiwa kivule na Kongowe, mpaka ufike Kariakoo na dalalada zetu hizi miguu imevimba. Hapa naona busara itumike wao wenye pesa na magari waende Mabwepande sisi tukae Kariakoo, Upanga, Posta, Kisutu na maeneo yote ya mjini ili tuwe tunafika makazini kwa mguu kwa wakati.
 
Pamoja na kunyang'anywa wamejenga nyingine kibao hapo hapo Upanga.
Hawa Jamaa wamejenga Kilwa Mafia Zanzibar Mombasa enzi hizo huku wakiwatumia Mababu zetu kama Wapagazi na Watumwa, leo hii tuna Uhuru tunamiliki Nchi yetu bado tunalialia, tukubali kuwa IQ zetu ni hafifu, sio wote lakini, tujifunze kutoka kwao sio kuwachukia.

Ikiwezekana nenda India kaoe Mwanamke wa Kitamil aje kukubadilishia mbegu ili IQ ipande angalao kiduchu.

Mimi sichukii ila nishawahi kujiuliza maswali hayo wakati nasoma mitaa ya upanga na kuzurua maeneo ya posta na ushuani kwengine kwamba kwa nini napishana na Raia wa kigeni wengi na hao ndio wenye makazi maeneo hayo sisi wa chitoholi tunakwama wapi mpaka tunaingia kushindia miguu ya kuku Buza kwa Lulenge?
 
Africa sijui itakuja kukombolewa lini ili tujipende na tupendane. Tanzania ni nchi yetu ila sisi tunalala sakafuni wakuja wanalalia mazulia. Hapana kwakweli ebu tujaribu kwenda India na Dubai tuone kama mtu mweusi ataruhusiwa kukaa kwenye mitaa yao Ile ya Emirates Hills, Golf Estate na Palm Jumeirah. Utafurushwa kama mbwa hata uwe na pesa kiasi gani

Ila hapa bongo jioni wazawa utaona tunagombania madaladala kwenda kulala mbagala, manzese, tandika na buguruni huko huku masaki na oysterbay ukiwa unatembea mpaka saa tano usiku unapigwa pingu unaambiwa mzururaji au kibaka ila usiku huohuo ukiwa buguruni hakuna polisi anakufatilia. View attachment 2344189
Mlaumu Baba yako
 
Swali: Ulijaribu kuhamia Upanga au Masaki, n.k. ukakataliwa na kuambiwa bakia huku huko Buza au Manzese? Hela yako ndiyo inakuchagulia pa kuishi. Siyo kama Afrika ya Kusini enzi za ubaguzi ambako ulikuwa unapangiwa pa kuishi bila kujali kama hela yako inakuruhusu kuishi mahali pazuri zaidi.
 
Hawa Jamaa wamejenga Kilwa Mafia Zanzibar Mombasa enzi hizo huku wakiwatumia Mababu zetu kama Wapagazi na Watumwa leo hii tuna Uhuru tunamiliki Nchi yetu bado tunalialia,tukubali IQ zetu ni hafifu sio wote lakini tujifunze kutoka kwao sio kuwachukia.

Ikiwezekana nenda India kaoe Mwanamke wa Kitamil aje kukubadilishia mbegu ili IQ ipande angalao kiduchu.
Nani kakwambia ngozi nyeusi unaruhusa yakumgusa muhindi kutoka India
 
Back
Top Bottom