Umetekeleza wajibu wako vema sana mkufunzi kwa rafiki yako. Yaliyobaki mwachie apambane nayo inatosha.Habar wana jf
Kiukweli nachukia sana mtu kukuona mjinga alafu likimkuta lakumkuta anarudtena kukuomba ushauri iliiweje sasa wakati mwanzo alikudharau kwa ushauri uliompa...