Habari zenu waungwana.?
Kuna mwanandoa mpya kaja kuniuliza hivi "kuna mazara yoyote kuchujilia chini chungu"
Akiwa na maaana hiii mke wake ametoka kujigungua miezi 4 iliopita ingawa tangu ajifungue alipokauka damu yake ya nifasi basi hadi leo hajaingia katika siku zake ila kijana kwa kuogopa kupandikiza mtoto mwengine mapema basi anaamua " kumwaga nje manii wakati wa tendo"
Suali ni hapa
Kama hajaanza kupata ada zake za mwezi ni kweli hawezi kushika mimba?
Jeee anapomwaga nje kuna madhara gani kiafya?