Nabuild gaming/video editing/archtec/graphic design pc (soma maelezo)

nixp

Senior Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
101
Reaction score
38
Kwa wale wapenzi wa gaming na watu wanaofanya video editing,graphic desighn, wanaochora ramani za nyumba(artchtec).nabuild gaming/graphic pc kwa gharama nafuu kulinganisha na gharama ya ps4 iliyochipiwa

Natumia case basic nachoangalia iwe kubwa kwa mzunguko mzuri wa hewa

Spec&cost
Cpu i5 3.2ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card>>r9 280x 3gb

Bei>>800k

Cpu i5 3.4ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card >>r9 290x 4gb

Bei 950k

Cpu i7 3.4ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card >>r9 280x 3gb

Bei 850k

Cpu i7 3.4ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card >>r9 290x 4gb

Bei>>1m

Ukichukua pc nakuwekea 10games za kuanzia utachugua mwenyewe pia spec zinaweza kuongezeka based na pesa utayolipia vitu kama ram&hdd vinaweza kuongezeka zaidi

Faida ya kutumia gaming pc kulinganisha na ps4 or xbox

=Gaming pc ipo more powerfull kuliko ps4&xbox one mfano ps4&xbox one zinatumia gpu ya radeon hd 7770 ukilinganisha na r9 280x ambayo ipo 3x more powerfull na ulikilinganisha na r9 290x ambayo ipo 5x more powerfull

=gaming pc unaweza kuitumia pia kwa matumizi mengine ikiwemo kuangalia move,kusurf internet na kwa sababu zina gpu kubwa hizi pia unaweza kutumia kufanyia video edit,graphic desigh hata wale wachora ramani pia unaweza itumia pia

=gaming pc inasupport controller zote za ps4,ps3,ps2,xbox one,xbox 360 na pia za pc na hizo unaweza kuzitumia wired or wireless

=matengenezo ya pc kama inatokea tatizo ni cheap zaidi na mafundi computer ni wengi

= gaming pc inakupa urahisi wa kupata game unaweza kucheza cracked game ambazo unadowload ,nauza pia 10k kwa game.,pia ukitaka online unaweza kununua ukilinganisha na ps4 ambapo cd ni gharama na hata ukisema utumie chiped latest payload ya ps4 haisupport new game kama fifa 19

Kwa wale wanaotaka pc kwaajili ya kuchezesha game kutumia kwa matumizi ya nyumbani unaweza iconnect na tv kupitia hdmi kuanzia i5 inatosha, ila kwa wale ofisi kwa wale wanafanya kazi za editing,graphic desigh na maanisha wale wanaotumia adobe zote nakushauri atlist i7 with
20190322_184025.jpg
u
20190322_184032.jpg
 
Mkuu habari, Naomba kufahamu kwa undani zaidi unatumia parts za Aina gani kuanzia Motherboard, Ram, PowerSupply, HDD, CPU cooling System na mwisho hiyo Graphics Card?? Kwa majina yake ya brand.
Kwa wale wapenzi wa gaming na watu wanaofanya video editing,graphic desighn, wanaochora ramani za nyumba(artchtec).nabuild gaming/graphic pc kwa gharama nafuu kulinganisha na gharama ya ps4 iliyochipiwa

Natumia case basic nachoangalia iwe kubwa kwa mzunguko mzuri wa hewa

Spec&cost
Cpu i5 3.2ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card>>r9 280x 3gb

Bei>>800k

Cpu i5 3.4ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card >>r9 290x 4gb

Bei 950k

Cpu i7 3.4ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card >>r9 280x 3gb

Bei 850k

Cpu i7 3.4ghz
Ram>>8gb
Hdd>>500gb
Graphic card >>r9 290x 4gb

Bei>>1m

Ukichukua pc nakuwekea 10games za kuanzia utachugua mwenyewe pia spec zinaweza kuongezeka based na pesa utayolipia vitu kama ram&hdd vinaweza kuongezeka zaidi

Faida ya kutumia gaming pc kulinganisha na ps4 or xbox

=Gaming pc ipo more powerfull kuliko ps4&xbox one mfano ps4&xbox one zinatumia gpu ya radeon hd 7770 ukilinganisha na r9 280x ambayo ipo 3x more powerfull na ulikilinganisha na r9 290x ambayo ipo 5x more powerfull

=gaming pc unaweza kuitumia pia kwa matumizi mengine ikiwemo kuangalia move,kusurf internet na kwa sababu zina gpu kubwa hizi pia unaweza kutumia kufanyia video edit,graphic desigh hata wale wachora ramani pia unaweza itumia pia

=gaming pc inasupport controller zote za ps4,ps3,ps2,xbox one,xbox 360 na pia za pc na hizo unaweza kuzitumia wired or wireless

=matengenezo ya pc kama inatokea tatizo ni cheap zaidi na mafundi computer ni wengi

= gaming pc inakupa urahisi wa kupata game unaweza kucheza cracked game ambazo unadowload ,nauza pia 10k kwa game.,pia ukitaka online unaweza kununua ukilinganisha na ps4 ambapo cd ni gharama na hata ukisema utumie chiped latest payload ya ps4 haisupport new game kama fifa 19

Kwa wale wanaotaka pc kwaajili ya kuchezesha game kutumia kwa matumizi ya nyumbani unaweza iconnect na tv kupitia hdmi kuanzia i5 inatosha, ila kwa wale ofisi kwa wale wanafanya kazi za editing,graphic desigh na maanisha wale wanaotumia adobe zote nakushauri atlist i7 withView attachment 1151254uView attachment 1151255
 
Back
Top Bottom