Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,497
Ni tapeli tu na hana akili, unamwambiaje mtu fulani ndie aliekuroga,unatengeneza jamii ya namna gani,watu wengine watamchukuliaje yule alietajwa na nabiu kama mchawi, hii haina tofauti na mganga wa kienyeji.
ukitaka kujua ni wa kweli ama la,yesu mwenyewe alisema zipimeni hizo roho simple like that,hapa sidhani ka utapata majibu sahihi cz kila mtu nae ana mawazo yake juu yake
Mungu nisaidie kuamini kama kweli umewapa watu wako uwezo wa kufanya mambo makubwa kiasi hiki. Nimeshuhudia semina za Prophet Frank kupitia Chanel 10 na Star TV.Daah jamaa ana upako wa kutisha,anaponya within a minute.Kina bibi wanatupa magongo within a minute.Kama Yesu karudi vile.Kinachovutia zaidi ni kutoa historia ya matatizo ya watu katika namna ya kipekee.Kwamba "wewe ulilogwa na fulani,mahali fulani,kwa sababu fulani". Anatoa mfano wa kukausha kidonda cha mtu ndani ya dakika 3.Jamani mnamsomaje huyu jamaa
kuna kitu kinaitwa hisia, kuna mwingine akion Mungu anafanya kuptia yeye huweza achili hisia zake pia kwa kupiga kelele n.k Ila njia sahihi ni kukaa karibu na MUNGU na roho wake atakufunulia mengitupe namna sahihi ya kuzipima maana mbwa mwitu hujifananisha kabisaaa na kondoo.ila km ni msomaji mzuri wa biblia namana hawa jamaa wanaponya na kutoa unabii ni tofauti kabsaa na alivokuwa anaponya yesu.hawa wanatangulixa mbwembweeeee afu ndo wsnaponya wakati yesu alikuwa anaponya tu hqkuna mbwembwe wala kelele
hata shetani anajua historia ya maisha ya mtu... manabii wa uongo walitabiriwa toka zamani sana...
nabii wa kweli lazima aenende kwa sheria na ushuhuda..
hawa wengine wamekalia kuwaahidi watu utajiri,kuponywa,mafundisho yao ni yaleyale kila siku... jamani ufalme wa Mungu ni zaidi ya kuponywa magonjwa,ni zaidi ya utajiri. Mtu ukiwa na shida omba mwenyewe na Mungu atakusikia.
sawaNi tapeli tu na hana akili, unamwambiaje mtu fulani ndie aliekuroga,unatengeneza jamii ya namna gani,watu wengine watamchukuliaje yule alietajwa na nabiu kama mchawi, hii haina tofauti na mganga wa kienyeji.