Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Jun 12, 2023 #1 Kwenye tuzo asema kwamba anaumia future yake bila Yanga.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,275 Reaction score 123,712 Jun 12, 2023 #2 Hardlife said: Kwenye tuzo asema kwamba anaumia future yake bila Yanga. Click to expand... Kwa hiyo akisema hivi ndio anakuwa amethibitisha kuondoka?
Hardlife said: Kwenye tuzo asema kwamba anaumia future yake bila Yanga. Click to expand... Kwa hiyo akisema hivi ndio anakuwa amethibitisha kuondoka?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,301 Jun 12, 2023 #3 Kumbe ni usiku wa tuzo?
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,933 Reaction score 40,129 Jun 12, 2023 #4 Mbona nipo na tizama, sijasikia hapa.
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Jun 12, 2023 Thread starter #5 Scars said: Kwa hiyo akisema hivi ndio anakuwa amethibitisha kuondoka? Click to expand... Pole sana
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,323 Jun 12, 2023 Thread starter #6 joseph1989 said: Mbona nipo na tizama, sijasikia hapa. Click to expand... Labda kama hukuelewa alichoongea.
joseph1989 said: Mbona nipo na tizama, sijasikia hapa. Click to expand... Labda kama hukuelewa alichoongea.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 Jun 12, 2023 #7 Ufubgaji bora wamepewa woteeee
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 Jun 12, 2023 #8 Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,686 Reaction score 24,005 Jun 12, 2023 #9 cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Na Mayele nae kapewa?
cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Na Mayele nae kapewa?
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,933 Reaction score 40,129 Jun 12, 2023 #10 cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Kwenye kiungo bora wangempa Mzamiru tu, sema wanaocheza namba zile huwaga hawaonekani,ila jamaa msimu huu kakichafua sana pale kati.
cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Kwenye kiungo bora wangempa Mzamiru tu, sema wanaocheza namba zile huwaga hawaonekani,ila jamaa msimu huu kakichafua sana pale kati.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,751 Reaction score 50,159 Jun 12, 2023 #11 cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Msimu ushaisha jipangeni Kwa msimu ujao!
cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Msimu ushaisha jipangeni Kwa msimu ujao!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 Jun 12, 2023 #12 fyddell said: Na Mayele nae kapewa? Click to expand... Ndyo amepewaaa
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 Jun 12, 2023 #13 Mpaji Mungu said: Msimu ushaisha jipangeni Kwa msimu ujao! Click to expand... Km unaumiaaa poleeee
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,898 Jun 12, 2023 #14 cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Mapovu wakatulia tulii.
cocastic said: Saido ntibanzokiza Fair play Kiungo bora Ufungaji bora. Click to expand... Mapovu wakatulia tulii.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 Jun 12, 2023 #15 Fiston mayele Ufungaji bora Mchezaji bora.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,686 Reaction score 24,005 Jun 12, 2023 #16 cocastic said: Ndyo amepewaaa Click to expand... Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?🙄 Hii dhawadi alistahili Saidoo tu
cocastic said: Ndyo amepewaaa Click to expand... Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?🙄 Hii dhawadi alistahili Saidoo tu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 Jun 12, 2023 #17 taamu said: Mapovu wakatulia tulii. Click to expand...
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,299 Jun 12, 2023 #18 fyddell said: Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli? Hii dhawadi alistahili Saidoo tu Click to expand... Mayelee kapata Ufungaji bora Uchezaji bora Goal bora
fyddell said: Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli? Hii dhawadi alistahili Saidoo tu Click to expand... Mayelee kapata Ufungaji bora Uchezaji bora Goal bora
Mkunazi Njiwa JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 9,468 Reaction score 8,276 Jun 12, 2023 #19 Kweli mwanamama Jonesiya Rukyaa ANASTAHILI tuzo ya mwamuzi bora?!!! Mmmh Miaka miwili ananyonyesha....amerudi juzi tu.. Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kweli mwanamama Jonesiya Rukyaa ANASTAHILI tuzo ya mwamuzi bora?!!! Mmmh Miaka miwili ananyonyesha....amerudi juzi tu.. Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,301 Jun 12, 2023 #20 Mayele wamemwonea huruma...