Hahahahahhaaa sio rahisi kunielewa..... niko hewani mnooo yaani at the peak top kabisa kule juu above the mountain.... flying..... yaani hata sio kupaa ni kuelea na kuogelea hewani.....
Halafu hewa yenyewe imejaa chembechembe za Mahaba kila nukta.
Yaani acha tuu kuna raja duniani utasema hakuna kufa.