Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 7
Tumia voda ama airtel but zaidizaidi voda. . . . .dogo waonekana u mpole na mnyenyekevu, vema sana endelea na tabia hio hasa ukiwa unaongea na wakubwa zako na pia wenzako(life is people dogo). . . . . .waenda kusoma course gani dogo!ahsanteni sana jamani! Nachelewa kutoa mrejesho kutokana ya changamoto ya hiki ki-simu lakini jana nilifanikiwa kuweka hiyo window 7 ultimate, hiyo micros esential security na ms office 2007. Ila nimekwama kwenye mambo ya internet acces! Cjui ninunue modern gani? Chuo udom