Mkuu kuna jukwaa la siasa,huku ni kuhusu jokesHatuna muda wa kujadili mambo ambayo hayana tija kwa taifa letu jenga hoja za mabadiliko ili uchumi wa nchi yetu uelekee ile Tanzania tunayoitaka
Najua ni uamuzi mgumu, lkn nimeomba bann mwenyewe ndani ya saa 48.
Badili maamuz yako pliiz tutakosa mambo humu!
Lema hakukaa siku mbili jela bali wiki mbili au siku kumi na nne (14). Sasa sijui kama utakubali PAW akulambe kwa wiki mbili mfululizo?
Nimekuelewa Vengu, lakini acha nile bann la siku mbili kwanza hlf watu watakoma kunitisa. Na modes hawatanipiga bann mimi mwenyewe nitakaa nje ya JF 5days, 120hrs manake mtaniona tena humu ijumaa.
Najua ni uamuzi mgumu, lkn nimeomba bann mwenyewe ndani ya saa 48.
Ngoja nikupe ishauri wa bure
msuba unavutiwa mdomoni
ukivutia kwenye masaburi ndo inakuwa unaleta usela m.a.***v.
Mi namwomba mod aongeze 0 kwa mbele ya 5 uliyoomba walau utakuja na akili ya secondary kuliko uliyonayo sasaKuna uzi nimepost wa kuomba modes badala ya 48hrs wanipige 120hrs(5days), kuanzia leo saa kumi na mbili jioni mpaka alhamis muda huo. Wasiponipiga bann mimi mwenyewe sitalogg in kuanzia kesho.
Najua ni uamuzi mgumu, lkn nimeomba bann mwenyewe ndani ya saa 48.
haaa haaa Afisa Elimu, huyu wakusoma ni problematically kweli nahisi kweli usela dung unamsumbua kuna kipindi alianzisha Thread ya kutaka kwenda kumuona mbunge wa Iringa mjini kisa mwane hajaitwa kazini baada ya interview TANESCO