Naamini Kikwete anasikitika kama mimi


Unatakiwa kuwa na uelewa wa kutosha kabla hujaropoka usioyajua.Lile bunge la katiba limewekwa kisheria,na sheria inatamka wazi kuwa bunge litakaa kwa siku 70 na zinaweza kuongezwa kufia siku 90 na si zaidi ya hapo.Sasa baada ya kuona hivyo ulitaka rais afanye nn.
Kama rais ameongeza siku 60 basi ametumia ustaarabu wa hali ya juu,na kwa madhumuni ya kutaka rais ajaye aanze kuitumika hiyo katiba mpya.
 
Jk alipewa uraisi na alipoupata hakujua afanye nini. Na mpaka leo sidhani kama anajua. Kwa hiyo kusikitika ni ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…