gregory Tarimo
Member
- Aug 11, 2014
- 29
- 2
Nahama jiji so sitokua na usimamizi..kodi ni ndogo sana nichek kwenye simu
Nahama jiji so sitokua na usimamizi..kodi ni ndogo sana nichek kwenye simu
Weka bei, sio kila mtu atapenda kupoteza vocha kwa kuuliza kitu asichoweza kununua
hapo anataka umpigie aanze kuleta 'uswahili'. kama ni ndogo weka basi watu wajue, au 'mazungumzo yapo' kama kwa mmachinga? wabongo bhana!!
We kama kupiga simu au kutuma sms unaona ni gharama inaonyesha frem hutaiweza wenzio mbona wanapiga..maongezi yapo ndo maana sijaweka bei..