Na

Na

Raj Mendez

New Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Nimemaliza kidato cha 6 HGE matokeo yamekuja 3 ya 15 natamani kurudia mtihani ila wazaz wanataka niende diploma kipi ni sahihi?
 
Kwanza pole sana kukosa point moja hua inauma sana, uchumi ni mgumu, kama ulifeli economics skushaur urudie nenda diploma, kama yamezngua hist au geog nashaur rudia uingie degree moja kwa moj
NB, elim nikupoteza muda angalia na umr wako pia
 
Nenda diploma ww acha kupoteza muda, kama mkwanja upo home unasubiri nn sasa?? Degree utakuja kusoma mbeleni tu huko kwanza shule ya diploma ni better zaidi ya degree, degree huku tunatafuta title tu Ila mambo mengi ukipitia diploma unakuwa unajua...
 
Nilipata division 2 ya 12 mwaka 2016 PCB ila nilipoona mizinguo nimejikita diploma in medical laboratory science maisha matamu tu
 
Back
Top Bottom