Na wewe shangaa!!hii

nimepaki nashangaa,tupe unyambulifu kidogo mkuu NAPITA
 
Last edited by a moderator:
Hii inaitwa
[h=1]America's exotic race day[/h]
 
Sio paka tu kwa njisi mambo yalivyo hadi panya.
 

Pamoja sana unajua kuna matukio yanatokea sana Duniani tunajitaidi jamii ya watu wa JF wayafahamu tatizo mablog wanatuibia sana mambo yetu tunayoyaweka humu.
 
Pamoja sana unajua kuna matukio yanatokea sana Duniani tunajitaidi jamii ya watu wa JF wayafahamu tatizo mablog wanatuibia sana mambo yetu tunayoyaweka humu.
Kumbe ndio hivi mkuu, hawana ujanja wa kutafuta habari au matukio hadi wabandue na kubandika kwao.

Ndio maana mimi ukiondoa ANKAL huwa sitembelei blog yoyote labda dada Mange Kimambi kidogo sababu huwa anakuwa na baadhi ya habari adimu sana.

Ukiondoa hao huwa sitembelei blogu yoyote uchwara, kwa kweli sina muda huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…