katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Siko kwenuTunakuokoa wewe
Najiokoa mimi mwenyeweJambazi kaingia ndani yanyumba kakosa alichotaka akakuamuru baba wanyumba nani auwawe .
Kimada (house girl) mtoto wako au mkeo yupi utamuokoa?
Mtuambie??
KILA UAMUZI HUTEGEMEANA NA MAZINGIRAJambazi kaingia ndani yanyumba kakosa alichotaka akakuamuru baba wanyumba nani auwawe .
Kimada (house girl) mtoto wako au mkeo yupi utamuokoa?
Mtuambie??
Nitamuokoa damu yangu,ambaye ni mtotoJambazi kaingia ndani yanyumba kakosa alichotaka akakuamuru baba wanyumba nani auwawe .
Kimada (house girl) mtoto wako au mkeo yupi utamuokoa?
Mtuambie??
MmmnhNajiokoa mimi mwenyewe
Ntakuokoa na wewe...Mmmnh
Na bibi[emoji847][emoji847]Ntakuokoa na wewe...
Nitapambana kwanza, then kama nitashindwa basi nitajichagua mwenyewe and let mke wangu, mtoto na house girl wa haiJambazi kaingia ndani yanyumba kakosa alichotaka akakuamuru baba wanyumba nani auwawe .
Kimada (house girl) mtoto wako au mkeo yupi utamuokoa?
Mtuambie??
Mmoja ndio umeambiwa umchagueNitapambana kwanza, then kama nitashindwa basi nitajichagua mwenyewe and let mke wangu, mtoto na house girl wa hai
Siumeshindwa?
Sasa ndio huyu jambazi kasema chagua mmoja tu tumkillkama ndo mimi ntamwambia amuue mbwa kama hamna mbwa akaue kuku kama hamna kuku najua panya hawezi kosa ndani ya nyumba kama akikosa panya...afu we katoto hakuna jambazi mpuuzi wa namna hii jambazi anadili na pesa tu.
mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo