Na nyie Watanzania deni lote hili mtalipa vipi ilhali bado mpo sana

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,685
48,485
Mbona mnajitutumua kuchukua madeni wakati bado mnatajwa ndani ya nchi maskini duniani, hii ni michezo ya wakubwa jameni, mungeboresha nchi kwanza kabla ya kuanza kujibaraguza. Nchi yenu bado sana jameni ndugu zetu, msipokua makini madeni yanaweza kusababisha muangukie pua. Mfuko wenu wa foreign reserve unafaa kutumishwa kwanza.

Sasa mkiiga majitu kama sisi Wakenya mtapasuka kuleee!! Ninawaasa tu kwa maoni yangu, msikurupuke.
-------------------------------

Experts raise red flag as Tanzania's debt rises to $25b

Tanzania's debt stock has risen to Tsh57.964 trillion ($25.5 billion) as of January 2018, with the external debt standing at Tsh44 trillion ($19.4 billion) and domestic debt at Tsh13.964 trillion ($6.2 billion).

A report by the Bank of Tanzania (BoT) for February 2018 notes that the national debt rose 15.3 per cent from Tsh50 trillion ($22.1 billion) at the end of January 2016.

Domestic debt, which fell due for January 2018 payments, rose to Tsh679.8 billion ($300 million) from Tsh346.3 billion ($152.9 million) the preceding month.

Out of the debt that matured in January, a principal of Tsh563.4 billion ($248.8 million) was rolled over while interest amounting to Tsh116.4 billion ($51.3 million) was paid out.

The central bank says the cumulative debt that fell due by January was Tsh6.1 trillion ($2.7 billion), out of which Tsh5 trillion ($2.2 billion) was rolled over and the balance paid out.

According to BoT’s Monthly Economic Review for February, the increase in foreign debt was mainly on account of new borrowing largely to finance capital expenditure and stimulate the economy.

Related Content
But experts warn the government that it may have difficulty in repaying the debt in future, in the face of dwindling exports.

Treasury-bills and bonds issued for budget financing amounted to Tsh459.7 billion ($202.9 million), with bonds accounting for Tsh259.2 billion ($114.4 million). The cumulative government securities issuance during the year to January 2018 amounted to Tsh7.4 trillion ($3.2 billion).

The balance in goods account realised a deficit of $97.8 million from $76.7 million, while the services account realised a surplus of $93.9 million, compared with $98.9 million, owing to an increase in service payments.

Exports of goods and services grew to 26.9 per cent to $225.9 million in the year ending January 2018, helped by major export commodities such as cloves and seaweed.

Manufactured goods, which included re-exports, increased to $6.1 million from $1.5 million. Much of the increase resulted from exports of fish and fish products, particularly live lobsters and crabs.

You forgot to Read this sweet part of your story before posting.

Kenya will never afford this

.......

Haya madeni lazima watayalipa kwa hotuba. Tena moja ndeeefu. Mipasho style, zaidi ya takeu style. :D Utasikia yule yoha.. nani akija na kauli flani eti wanaotudai waje wapeane majina yao kwenye wizara husika.
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania itaenda kupata billions of foreign money from cotton this year.?

Mavuno ya pamba this year yatakua history in africa, Tanzania hajaiwahi kulima like this?

Target ilikua tones laki moja lakini mpaka sasa tones zitakazovunwa ni zaidi ya laki 8 hajaiwahi tokea
 
Muhimu kukopa tu na kufanya mambo ya mbolea. ..kama mikopo ipo kwann tusiifaidi mapema?
Muhimu ni italeta tija Na kutusogeza mahali pazuri kama nchi...italipwa .....wewe waswas wako nn? Na nani alikwambia tutabaki ldc milele? Tutavuka tu
 
Ako wapi pumbavu geza ulole kazi yake ni kukesha na madeni ya kenya hadi anasau yakwao sheziyeye:D:D:D:D:D:D:D
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania itaenda kupata billions of foreign money from cotton this year.?

Mavuno ya pamba this year yatakua history in africa, Tanzania hajaiwahi kulima like this?

Target ilikua tones laki moja lakini mpaka sasa tones zitakazovunwa ni zaidi ya laki 8 hajaiwahi tokea
Mtakula hiyo pamba...Hahahaha.
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania itaenda kupata billions of foreign money from cotton this year.?

Mavuno ya pamba this year yatakua history in africa, Tanzania hajaiwahi kulima like this?

Target ilikua tones laki moja lakini mpaka sasa tones zitakazovunwa ni zaidi ya laki 8 hajaiwahi tokea
Target ya soko wanalo maana serikari yetu bhana mnaweza lima lakini muda wa mavuno ndo shida kama ilivyo kwenye mahindi
 
Deni la ndani sio shida ni la shilingi kodi zinalipwa na uzalishaji unapanda maradufu. Deni la nje bado liko ndani ya uwezo wetu 22% ya GDP, tena tunauwezo wa kwenda mpaka 50% kiwango kinachokubalika cha EAC.
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania itaenda kupata billions of foreign money from cotton this year.?

Mavuno ya pamba this year yatakua history in africa, Tanzania hajaiwahi kulima like this?

Target ilikua tones laki moja lakini mpaka sasa tones zitakazovunwa ni zaidi ya laki 8 hajaiwahi tokea
Hawajaa hawajui kuwa sasa ni hapa kazi tu
 
You forgot to Read this sweet part of your story before posting.

Kenya will never afford this

.......
Exports of goods and services grew to 26.9 per cent to $225.9 million in the year ending January 2018, helped by major export commodities such as cloves and seaweed.

Manufactured goods, which included re-exports, increased to $6.1 million from $1.5 million. Much of the increase resulted from exports of fish and fish products, particularly live lobsters and crabs.
Deni lote ni asilimia 38% tu ya GDP so kulilipa ni Rahisi tu.. Halina effect kubwa km lenu limefikia 60%
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania itaenda kupata billions of foreign money from cotton this year.?

Mavuno ya pamba this year yatakua history in africa, Tanzania hajaiwahi kulima like this?

Target ilikua tones laki moja lakini mpaka sasa tones zitakazovunwa ni zaidi ya laki 8 hajaiwahi tokea
Don't hatchet your counts before they chicken....or how do they say that again?
 
Deni lote ni asilimia 38% tu ya GDP so kulilipa ni Rahisi tu.. Halina effect kubwa km lenu limefikia 60%

Eti rahisi kulipa waka libombandia linaota kutu kwa Mkanada, mnaendelea kujilimbikizia madeni ilhali nchi yenu bado maskini, sasa wakati mkifika kwenye level yetu kiuchumi nchi itakua imeuzwa yote.
 
Linaota kutu wakati July zinakuja zote NNE na imeshatangazwa..Nchi ambayo iko mbioni kuuzwa ni yenu.. We just counting days
 
Haya madeni lazima watayalipa kwa hotuba. Tena moja ndeeefu. Mipasho style, zaidi ya takeu style. :D Utasikia yule yoha.. nani akija na kauli flani eti wanaotudai waje wapeane majina yao kwenye wizara husika.
Diamond jubilee hall wazee wa Dar will endorse anything and everything.CCM oyee.
 
Mindege mnajazana nayo ya nini wakati hataa kidogo mlizo nazo zimewashinda, mnasitisha safari kila uchao, hebu soma uzi wa huyu jamaa hapa ATCL kusitisha safari za Songea kutokana na Ubovu wa uwanja na Mtwara kutokana na kukosa wateja
Tunajenga Uwanja wa ndege kila Mkoa, na hapo shida ilikua ni uwanja sio Abiria.. Nafkiri ni zamu ya Songea kuanza kujengwa na kuboreshwa ndio maana wamesitisha safari.. Tuna masoko mengi Sana na wafanyabiashara wanaoenda China, India na na Nchi za EU so hizo ndege zitakazokuja Zita cover safari zote hizo pamoja na nchi za Africa hapa..
 
Back
Top Bottom