Kwanini ulimshusha mkuu? Hapo nadhani utakua umefanya hivyo kwavile tu alivaa malapa
Je ulijaribu kufikiria kwanini alivaa malapa? Unahakika hana tatizo la miguu? Unahakika hakua ameacha viatu vyake visafishwe kwa shoe shiner pengine masafa mafupi tu kutokea hapo ulipomuona?
Unaupenda mziki wake lakini ulishawahi kufanya jitihada za kununua kazi zake kwa njia halali ili uwe umemsapoti kiuchumi ndipo upate uhalali wa kumshusha kwa kuvaa malapa?
Kwa maoni yangu usinge mtoa thamani kwanza bali ungempa kila dharura kwamba yawezekana alikua na sababu ya kuvaa hayo malapa mahali na wakati ulipomuona, au unafikiri alipenda na kwamba alidhani ndio fasheni ya kutembelea mjini? Tuwe positive wakati wote tunapo judge kuhusu wenzetu