Kuna ----- mmoja alitoroka kazini wakati bosi wake hayupo ofisini,alipofika kwake kamkuta bosi akiwa na mke wake (huyo -----),----- alirudi mbio ofisin huku akisema namshukuru mungu maana bosi hajaniona angeniona ningefukuzwa kazi!maana angejua nimetoroka ingekuwa msalaaaaaaa!
kama ni wewe ungefanya nin?