Ka-Zanzibar? Hilo Dume la mbengu mie nilipeleke wapi? Pua ka donge la Revola, la nini?
Shemeji unauliza tumbo wakati kitovu unakiona? Mnyamwezi akiona kangozi kaupe basi anachanganyikiwa.
Sasa ukiona hata Wanawake wawili, kwa mfano Fidela na Nsia Swai, basi lazima ufahamu kuwa baba yake Nsia atapata mang'ombe mengi.
Uzuri wa Wazungu ni kuwa unapoowa, hutoi mahali wala ng'ombe na ukibahatika ukamzalisha, unasafisha ngozi za watoto.....
Si mwenyewe angalia Obama akikutana na Obamas wa Kenya, anakuwa Mzungu kabisaaaaa!!!!
Ngoja niendelee kupekua makaratasi, inawezekana bado nina simu ya haka kabinti. Labda kama kameolewa.