Mungu huyu wa kwel alieumba dunia ni wa ajab kuliko unavofkiria,..hana mda et wa kumwangamiza bnadam kwa moto sjui nin,ni stor tuu za wahenga,..hiv unadhan project za mungu ni sis tuu bnadam hapa dunian?ungekua umesoma elim ya universe ungefahama kua ulimwengun kuna zaid ya ma trillion ya sayar na jua,so ustake kuniaminisha kua katka sayar zote hizo ni sayar 1 tuu ndo yenye viumbe hai,...siamin hata sku1Hawa wazungu na tafiti zao za kwenda kwenye sayari zisizo julikana mwisho wa siku wamchukize Mungu achukue uamuzi wa kuteketeza dunia yote na watatuponza sisi wafrika tusio jua kila kitu
Nakubaliana na wewe mia kwa mia teh tehHaha mkuu sidhani mana kama Mekwa mbona jamaa Magu amewapa 'elimu bure'???
Tatizo ilikua umande itakua
Kwanin unakua mzito kuamin mambo,..mbona huoji advancement zingne za technology,nw tunawasiliana hapa vzur tuu,unaeza ongea na mtu yuko miles away etc,unapiga picha unajiona etc,..hiv vyote vmefanywa na nan? Vtu vingne vnahtaj brain kufanya mangamuZ,maana hata elim ta darasan weng wana vyet vya kukarir tuIla isije ikawa wako studio tu, wanakudanganya.
Magu kafikaje tena hapa,..wazee wa lawama,hahah,yaan we hata ukingatwa na mbu utasema magu anazingua ndomana unangatwa na mbuSisi tungeweza kujitutumua isingekuwa magu kuhusudu kushangiliwa na kupongezwa huku akisifiwa kwa maandamano ya wajinga naye anachekelea.
Ukiuliza unajibiwa na mabeo, siiro, ndugaali, na yule wa mahakama kyuu!
Mnategemea kuwa na 'Vichwa'
Thubuutu!!
Tunaambukizana miujinga.
Hakuna kitu kama hcho kaka,usijipe moyo,..A ni A tuu hakuna nyingne..yaan umwone mwenzio ana progress we umekaa unakunywa urojo halaf useme uko kwenye right track?..labda uwe kwenye sayar nyingne ambayo mafanikio kwao ni context ya backwardnessSasa kila mtu akifanya tafiti unadhani nani atakaa kwenye discovery channel kumcheki mwenzie? Tofauti za maisha na kimtazamo lazima ziwepo kwenye dunia ya watu more than 5 billion kwahio usidharau ulipo unaweza kuta upo sahihi kuliko wao. Full stop
Mkuu huyu magu ni kama wewe kimuonekano yaani ni mweusi, na mada yako inachambua udhaifu wa watu weusi mbele ya weupe.Magu kafikaje tena hapa,..wazee wa lawama,hahah,yaan we hata ukingatwa na mbu utasema magu anazingua ndomana unangatwa na mbu
Unamwonea bwana kumtwisha zigo hlo la lawama,..lawama hiz ni za kiumbe chochote chenye rang hii nyeus,awe ulaya,africa,asia,america n.k,..Mkuu huyu magu ni kama wewe kimuonekano yaani ni mweusi, na mada yako inachambua udhaifu wa watu weusi mbele ya weupe.
Labda uniambie magu ni mweupe nitakuwa nje ya mada.
Narudia tungeweza kufanya makubwa kupunguza aibu za kuzodolewa na wazungu isingekuwa magu
Hata huko bila bila sema majungu, unafiki,uvivu lawama na kulalamika hapa tunaongoza".....Black people are good in love making" Dolnad Trump
Usijitie stress kuangalia wao wako wapi nawe uko wapi utaumia bure we ukiona mambo yako yanaenda acha kuji compete na watu ji compete na ulivokua janaHakuna kitu kama hcho kaka,usijipe moyo,..A ni A tuu hakuna nyingne..yaan umwone mwenzio ana progress we umekaa unakunywa urojo halaf useme uko kwenye right track?..labda uwe kwenye sayar nyingne ambayo mafanikio kwao ni context ya backwardness
Ushahidi unapatikana katika vitabu vya dini, kihistoria tunaambiwa kuwa ardhi ya kiyahudi pamoja na kiarabu ndio chimbuko kubwa la wanasayansi waliobadilisha ulimwengu.Ushahidi plz