Smartbeing
JF-Expert Member
- Apr 7, 2014
- 323
- 426
Unawapataje wewe?MZUMBE CHAMA LANGU
Haaaa haaa sasa wanafanya nini huko wakati websitini hawapatikani?Wapo Instagram
KAMPASI YANGU YA DAR NA IKO ACTIVE SIKUSOMA MAIN CAMPUSUnawapataje wewe?
Najua wana system ya online application. Je mtu akitaka kujua au kuona current prospectus anapata wapi? How about current news ya projects wanazofanya and other developments?Wapo. Maana miez kadhaa nlifanya application ya dogo hapo main campus. Ilikuwa ni shida maana hata ukigoogle bado huipata. Nilikuwa naingia via url wanazonitumia kwenye email kila wanapotupa update sisi applicant
Sent using Jamii Forums mobile app
Online Adimision system ipo kama independent link, lakini pia inapatikana kupitia main website yao.Najua wana system ya online application. Je mtu akitaka kujua au kuona current prospectus anapata wapi? How about current news ya projects wanazofanya and other developments?
Namaanisha website yao sio application systemMbona system ipo active Sana bro!
Inawezekana waneona Instagram inawafikia watu wengi zaidi. Ila website ni muhimuHaaaa haaa sasa wanafanya nini huko wakati websitini hawapatikani?
Sio wapuuzi bali tafuta backgraound ya msabila na aliyeko sasa ndo utajua kwann alihamishwa akapelekwa library......Mzumbe niliwaona wapuzi walipomtoa mtaalamu wa komputa musabila na kumweka kitengo cha ajabu ajabu msabila kipind ndo director ilikuwa poa sana mambo kwa wakati na kwa usahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Msabila yule jamaa hahahaha Mu kitambo sanaSio wapuuzi bali tafuta backgraound ya msabila na aliyeko sasa ndo utajua kwann alihamishwa akapelekwa library......
Sent using Jamii Forums mobile app