root blaza..unataka nikanyee debe mkuu...kuna mbuu kule balaa hakuna heinken kule..hakuna chips zege walaa mchemsho wa sato...sio mie bwana mi nimereport tu hapa jukwaani....au hujui wabunge na tcra wapo humu...protect the whistle blower my friend. au kwa sabu signature yangu inasema mambo ya hacking?!Naona wewe ndo umefanya
Hii link ya Mzumbe Dar ina matatizo: Mzumbe University | Dar es Salaam Campus College ukifungua inaleta vitu hivi: http://www.melonude.com/melonude.htmlNimefata link hapo hakuna damages yoyote. Site inafanya kazi vema.
Nimejaribu tena imefunguka vizuri ila mwanzo ilileta vitu vya ajabu kubadilika badilika inaonekana kuna matatizo
hao watu wa mzumbe ni mabwege sana, ina maana wao hawakujua kuwa site yao iko hacked. wapuuzi wakubwa.jamani hivi sahizi ukifungu a site yao una pigwa na porn za ajabu ajabu sijui kama wanajua....hata ukisearch google wanakuambia this site may have been hacked!...check now
update
ukifungua link yao directly inafunguka ukifungua kwa kusearch google ndio inakuwa redirected kwenye site za ajabu.
update
wameblock access ya site yao, ni jambo jema na zuri, pongezi kwa JF kumbe taarifa zinawafikia wahusika mapema aisee safi sana ila hata hela ya bia moja sijapata!!