Mzomeeeeni, huyoooooooooooo.



Ni kweli kabisa yote uliyosema, lakini maadamu tumemshindwa kwenye yote hayo, basi tufanye lile ambalo lipo kwenye uwezo wetu....HHIIILLOOOOOOOOO!!!:brick: ound:
 
Mimi Mzee vijisenti fisadi, naapa ya kwamba, nitatafuna vijisenti vyote na kuzidi kuifilisi inji hii kwa mujibu wa imani yangu ya ufisadi, enyi watanzania nisaidieni
 


NOBODY is above the law. NOBODY!
 
kajamaa haka si kalituhumiwa kuwanga mjengoni au macho yangu yana trakoma?
 
Msifieni bana...anainamaa anainukaaa anaona haaaya uyoooo!!!!akiona watu anainama....endelezeni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…