Huyo mbuzi aliyejifungua ni Mzimbabwe? Sikujua kuwa mbuzi wana uraia siku hizi.

Source??

hahahaaa...umenifurahisha mkuu coz hata mi nliposoma tittle nkastaajabu na habar kamili baada ya kukuta mzimbabwe mwenyewe ni mbuzi.

Source??
Huyo mbuzi aliyejifungua ni Mzimbabwe? Sikujua kuwa mbuzi wana uraia siku hizi.
Labda katafasiri kutoka google.mtoa mda badili title basi isomeke mbuzi azaa kiumbe kama mtu na sio mzimbabwe ajifungua mtu, kwani mbuzi anajifungua au ww huajelewa title yenyewe lol omba msaada wa kupelekwa english course basi.. hata hivo habari inachekesha.