South Africa siku hizi wanatrend na Amapiano Africa na dunia nzima hivi sisi tumeshindwa kuondoka na singeli kweli mpaka tunabaki ku copy vitu vya watu.
Natoa changamoto kuboresha mziki huu na amini watu wataupenda ukifanyiwa promo ya kutosha.
Sasa wewe mtu anaimba Mwaga maji tucheze kikambale, Nakukubali baharia wangu, amsha amsha, peperusha bendera, shika dera, mara wataje viungo vya uzazi, mara style za kukunjana..matusi matusi tuuuu