Mzigo Mpya: Power Bank za Laptop

Mzigo Mpya: Power Bank za Laptop

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Tunauza power bank za laptop kwa shilingi laki mbili na ishirini tu.

Karibuni sana.

Nicheki PM au nitumie email: tonyhaule@hotmail.com
 
Laptop lak2
power bank lak 2 na 20.
uza laptop nunua power bank.
 
Laptop lak2
power bank lak 2 na 20.
uza laptop nunua power bank.
ni hivi mkuu, tunaponunua kitu tunaangalia umuhimu wake. laptop ni muhimu lakini inapokuwa imezima kwa charge na hauna access ya umeme ina maana kwa wakai huo laptop haina umuhimu lakini ukiwa na power bank that means laptop itaendelea kuwa ya muhimu. Karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom