Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,286
- 10,940
Mpendwa mteja napenda kuwajulisha kuwa sasa kuna punguzo maalum la msimu wa sikukuu,
Ni majeneza ya kisasa kabisa yenye ubora na muonekano wa kuvutia!
Pia tunatoa huduma ya kujenga na kukarabati makaburi kwa material za kisasa kabisa.!
Tunapatikana dodoma ila kwa mlioko mikoa ya jirani, tunatoa ofa ya usafirishaji ikiwa utanunua mzigo kwetu.
Pia tunahitaji mawakala kutoka mikoa mingine ili kuweza kusambaza huduma zetu.
Karibunu sana kwa huduma nzuri na bei nafuu.
Nb: nimeshindwa kuweka no ya simu kwa kuepuka usumbufu
(kwa wale wazee wa kutukana) hivyo ndugu mteja uliye serious njoo pm nikupe mawasiliano yangu.
Samahani ikiwa kuna mtu nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine (ieleweke kuwa hii ni huduma kama zilivyo huduma nyingine) karibuni sana.