mzigo kutoka china

mabwana

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
307
Reaction score
316
habari ya leo kuna mtu anajua kampuni au china anaweza kuniletea mzigo wangu kutoka huko
 
silent ocean na makampuni mengine wapo Kkoo wanakuletea mzigo ila uende kwenye office zao hapo usiwasiliane na watu tofauti ukatapeliwa kuna utapeli sana katika kutuma mizigo kuwa makini kwenye hilo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…