isidingo 1961
Senior Member
- Nov 9, 2015
- 106
- 13
Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutoka Na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba HOVYO kwa kuyaondoa MAONI Na MAPENDEKEZO ya WATANZANIA Na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi Wa CCM Na kujiwekea uongozi Wa kifalme kwa familia zao.Kama haitoshi alidiriki KUWATUKANA Viongozi Wa DINI walipohoji mwenendo Wa Bunge.Maoni yangu MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.
Mzee KM zimesoma lakini bado anaamini gari ni mpya
RIP Mzee Six.Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutoka Na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba HOVYO kwa kuyaondoa MAONI Na MAPENDEKEZO ya WATANZANIA Na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi Wa CCM Na kujiwekea uongozi Wa kifalme kwa familia zao.Kama haitoshi alidiriki KUWATUKANA Viongozi Wa DINI walipohoji mwenendo Wa Bunge.Maoni yangu MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.
Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutoka Na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba HOVYO kwa kuyaondoa MAONI Na MAPENDEKEZO ya WATANZANIA Na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi Wa CCM Na kujiwekea uongozi Wa kifalme kwa familia zao.Kama haitoshi alidiriki KUWATUKANA Viongozi Wa DINI walipohoji mwenendo Wa Bunge.Maoni yangu MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.
Hakika nimeshangazwa sana kumwona Mzee Samwel Sitta akichukua fomu ya kuomba Uspika kupitia CCM. Nasema nimeshangazwa kwani sikutarajia Mzee Sitta angefanya hivyo kutokana na jinsi alivyoliendesha Bunge la Katiba hovyo kwa kuyaondoa MAONI na MAPENDEKEZO ya watanzania na kuweka mawazo ya kifisadi ya kuwalinda viongozi wa CCM na kujiwekea uongozi wa kifalme kwa familia zao.
Kama haitoshi, alidiriki kuwatukana viongozi wa dini walipohoji mwenendo wa Bunge.
Maoni yangu: MZEE SITTA HAFAI KUWA SPIKA.

Mke mbunge, yeye akiwa spika mambo ya kibunge wanaweza kupanga kitandani. Muogopeni kama ukoma, uspika unamfaa Zungu.